Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Nimeshuhudia hii "h" ikiongezeka kwa kasi mahali isipohitajika. Kwanza ilianzia kwa wanamuziki wa bongofleva na sasa inaunguruma kote mitaani haswa kwenye kuandika ujumbe wa maneno kwa kutumia...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Kuna tofauti iliyopo kati ya neno Niko na nipo japokuwa hatuizingatii sana tunapoandia au kuongea. Niko Inarejelea sehemu kwa mfano sasa hivi niko chumbani najamiiana na mke wangu. Nipo...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kiswahili: nifahamishemi kwa lugha nyepesi sana maana ya neno "Mtambuka" Nimeskiliza jamaa huyun hapa chini, bado sikuweza kumwelewa sawasawa. Kuna rafiki yangu mzuri sana hapa...
1 Reactions
10 Replies
440 Views
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kukuza ubora wa elimu kwa kuandaa mashindano ya umahiri wa lugha ya Kichina, “Chinese Proficiency for Foreign College Students...
1 Reactions
4 Replies
248 Views
In Samia Suluhu’s authoritarian dictionary 👉🏽Criticism of her = wananitukana 👉🏽Protests/ Maandamano = kufanya fujo 👉🏽To kill, abduct and torture = kuchapa mikwaju 👉🏽 Freedom of expression =...
5 Reactions
2 Replies
220 Views
Bagalu bichane, aliyoneyo, nandje kwa kubagisha pye! Salaam kwa wote. Samahani wakuu, inaniwia vigumu kuandika kwa kutumia lugha moja kuwasilisha hoja na maswali yangu. Ningelipenda sana lakini...
1 Reactions
71 Replies
64K Views
Niweze kujua tu hata kifaransa cha kunywea maji 1. Habari yako? 2. Safi/nzuri hujambo 3. Uko wapi, unafanya nini 5. Naomba maji 6. Njoo 7. Fanya haraka Na maneno mengine ya msingi.
0 Reactions
4 Replies
342 Views
1. Aanguaye huanguliwa. 2. Asiye sikia la mkuu, huvunjika guu. 3. Abebwaye hujikaza. 4. Adhabu ya kaburi aijuae maiti. 5. Adui aangukapo, mnyanyue. 6. Adui mpende. 7. Adui wa mtu ni mtu. 8...
3 Reactions
14 Replies
10K Views
Je kikwenu mama uitwaje? SISI kikwetu yaani kiganda, nyoko ni mama,ukitaka kujua Hali ya mama kiafya unaniuliza NYOKO MGUM? Je kwa kiswahili nyoko ni Nini? Je nyoko wako ndugu msomaji ni MGUM?
2 Reactions
10 Replies
576 Views
Habari wana JF Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara kwa wateja wanakuja kuulizia bidhaa dukani. Mteja baada ya salamu anauliza kwa kutumia wingi, hata kama anahitaji kitu kimoja tu...
4 Reactions
27 Replies
612 Views
Vihusishi 'na' na 'kwa' vinakosewa sana katika matumizi kiasi cha kuleta mkanganyiko katika mawasiliano ya kila siku. Kwa mfano, mtu anasema "Nilisafiri na gari", badala ya "Nilisafiri kwa...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Unajua kuna wasomi wamesoma mpaka Masters PhD ila cha kushangaza mtu huyu anapoambiwa jitambulishe anaanza kwa kusema "kwa majina ninaitwa........" kaka na dada zangu sio kwa "kwa majina" ila...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Matumizi ya vitu hivi viwili KATIKA kuremba nywele, huchanganya. Ukweli ni huu. Kazi ya Chanuo ni kuchana nywele, YAANI kutengenisha nywele kimakundi. Kazi ya kitana ni kutana nywele neno...
0 Reactions
0 Replies
224 Views
Haya ni maneno mapya ya mitandaoni. Usahihi ni upi kati ya akili mnemba na akili unde?
0 Reactions
2 Replies
880 Views
Unajua watanzania wengi wakisikia neno Bodaboda wanajua ni neno lenye chimbuko la Kiswahili au lililoanzishwa Tanzania. Lakini si kweli Neno “bodaboda” halikuzaliwa Tanzania —lilizaliwa mpakani...
0 Reactions
7 Replies
620 Views
Samahani nina swali kuhusu neno mjegeje. Nimesoma neno mjegeje lakini sijajua na sijaelewa maana yake. Nimegoogle na sijapata kamusi inaonyesha neno hii. Neno hii ni neno ya slang au kwa nini neno...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Write something in English and let chat in English. Please like this thread as agreement with my hoja.
60 Reactions
976 Replies
24K Views
Naomba ufafanuzi kidogo au gerentii ndo kiswahili?
0 Reactions
3 Replies
323 Views
SHEGA KULALEKI BOMBA MILUPO MIKASI UMEME (UKIMWI) SLIMU (UKIMWI) DENTI DUXI DU NGINGA NGINGA MZEE MWENZANGU ... ongezea na mingine tukumbushane...
7 Reactions
31 Replies
787 Views
Back
Top Bottom