Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Nimekua nikisikia neno hili mara kwa mara Mtoto wa Mama tu wewe" Sasa sijui maana yake je nini mtoto wa mama..?
1 Reactions
13 Replies
249 Views
Niache blah blah nyingi twende moja kwa moja kwenye swali langu la msingi. Katika kiswahili kuna maneno au viambishi ambavyo vinaashiria kukubali au kukanusha unachodhamiria kusema. Sasa katika...
1 Reactions
14 Replies
392 Views
Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (Congo DR) imetawaliwa na Ubelgiji (Belgium) tangu 1885 hadi 1960. Kwa nini KIFARANSA ni LUGHA rasmi nchini humo? Uzi tayari.
0 Reactions
11 Replies
245 Views
Ukiambiwa utaje neno sahihi la Kiswahili, ungechagua lipi? A. Mwavuli B. Mwamvuli C. Mwanvuli Wengi hulitamka kwa kujiamini, lakini si wote huandika kwa usahihi. Wewe una uhakika na jibu lako?
1 Reactions
2 Replies
136 Views
Hivi unajua unaweza kuwa na furaha lakini usisikie utamu? Au ukasikia utamu lakini huna furaha? For me, furaha naiona kama ile hali ya moyo kuwa na utulivu na kujisikia vibe fulani hivi yaani...
11 Reactions
154 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/shorts/TXRt5JMoY7w https://www.youtube.com/watch?v=28MgGdE0RPY
1 Reactions
5 Replies
181 Views
Kama kichwa cha mada kisemavyo, upi ni uandishi sanifu: Muenendo au Mwenendo, Mwongozo au Muongozo? Kwa wataalamu msaada tafadhali.
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Jina Ali ni maarufu sana lenye asili ya Kiarabu likiwa na maana ya mtu mwenye hadhi ya juu sana kwenye jamii. Kuna ndugu wa mtume Muhammad aliyekuwa anaitwa Ali ibn Abi Talib. Watu maarufu miaka...
1 Reactions
0 Replies
141 Views
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. Lughano Kusiluka, amesema wameanza maandalizi ya kuanzisha mafunzo ya lugha ya Kirusi, hatua inayolenga kuunga mkono juhudi za Serikali za...
0 Reactions
1 Replies
177 Views
Lugha ya kiswahili imepata nguvu sana nchini kongo hadi kunamaeneo hawazungumzi kabisa Lingala , ukienda mashariki mwa kongo kiswahili ndio lugha inayozungumzwa sana.
14 Reactions
66 Replies
869 Views
1 Reactions
3 Replies
184 Views
Naomba kujua matumizi ya hayo maneno kuoneshe "signature" lipi ni rasimi?
1 Reactions
43 Replies
26K Views
Utasikia naomba radhi, Mara amekosa radhi ya wazazi wake, Mara nitake radhi, mara nitakuachia radhi. Nilichokuwa najua mimi radhi ni msamaha lakini hizo sentensi kadhaa hapo juu zimeshanivuruga...
2 Reactions
10 Replies
6K Views
Peni yangu Andanenga, uwino unapotona, Mantiki huzilenga, na balagha na bayana, Hufaidika malenga, huvurugika akina, Nyege ni kunyegezana, msemo wa Kiswahili. Msemo wa Kiswahili, nyege ni...
1 Reactions
140 Replies
42K Views
KISWAHILI KITMU SANAHUKU NA KULE...- Peni yangu Andanenga, uwino unapotona, Mantiki huzilenga, na balagha na bayana ,Hufaidika malenga, huvurugika akina ,Nyege ni kunyegezana, msemo wa...
4 Reactions
14 Replies
20K Views
bha'aabhoooo...karibuni, zya nsiko...habari za siku, mwee wapanga...hamjambo?, mwangaloka...habari za asubuhi, wa kukaya...wa nyumbani, kalibhu halugo...karibu nyumbani, kalibhu hakaaya...karibu...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Lugha yetu ya kiswahili ina methali nyingi sana ambazo si watu wote wanazijua au kuzitumia. Nitaanza kwa kuweka methali rahisi na maarufu sana, kisha ukinipa jibu toa yako au zako unazojua...
1 Reactions
5 Replies
318 Views
Asili ya neno punyeto Neno punyeto katika Kiswahili linamaanisha kujichua / kujichezea sehemu za siri. Asili yake Punyeto limetokana na Kireno (Portuguese) Neno la asili ni punheta, ambalo pia...
10 Reactions
27 Replies
1K Views
Tanzania y Zanzíbar representan una de las combinaciones de viaje más completas y espectaculares de África. Cada año, miles de viajeros internacionales visitan Tanzania para descubrir la increíble...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Nimeshuhudia hii "h" ikiongezeka kwa kasi mahali isipohitajika. Kwanza ilianzia kwa wanamuziki wa bongofleva na sasa inaunguruma kote mitaani haswa kwenye kuandika ujumbe wa maneno kwa kutumia...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom