Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wakuu habari za majukumu? Katika pitapita zangu mitandaoni nilikuwa na kiu ya kujua kampuni ya philips makao yake makuu yapo wapi? Google wakanijibu ni Netherland na translate kwa chini pale...
9 Reactions
92 Replies
2K Views
Hii ni lugha mpya hapa mjini. ongeza na wewe uliyewahi kuyasikia gayiz.
1 Reactions
3 Replies
269 Views
Kwa umri wangu, Kingereza nimeweza kukifahamu vizuri sana kuliko Watanzania wengi, kwa sababu kuu mbili: 1. Nimekulia na kusoma Tanganyika na Tanzania, lugha ya kwanza ya kuanza kusomeshewa...
22 Reactions
171 Replies
8K Views
Wahariri wa magazeti, watangazaji (presenters), wachambuzi uchwara wa siasa na mpira kwa nini mnapenda kutumia neno 'aidha' badala ya 'ama'? Ni kwamba uchawa unawachanganya ama waliowafundisha...
3 Reactions
11 Replies
325 Views
1. Muhanga. Huyu ni mtu aliyejitoa/aliyetolewa sadaka au aliyepitia mateso kwa Kwa ajili ya jambo fulani lenye thamani kama imani, taifa n.k. Mfano, alikuwa 'muhanga' wa vita kwa kuwa alikuwa...
5 Reactions
40 Replies
733 Views
Dear Love I know you cannot read this now (may be you can, I don't know), Its been few days since you left us, in the most sudden , shocking and unpredictable way. I am still not able to...
2 Reactions
2 Replies
486 Views
Watu wengi au karibia watu wote hutumia hii kauli. Je ni sahihi? Nilimkuta hayupo Unamkutaje mtu alafu mda huo huo anapotea Wajuzi wa lugha tupeni muongozo, hii imekaaje?
7 Reactions
41 Replies
675 Views
Hello Jf, Everyone has got something thrilling in life, to me is learning new language. Recently I have becoming desperately of learning English language but unfortunately my settings are not...
5 Reactions
41 Replies
7K Views
Wakuu msaada, nahitaji sana kujua kizungu cha kusikiliza hasa cha kwenye movie za wazungu. Najua kusoma na kuandika kiingereza. Mswahili mwenzangu pia akiongea kizungu naelewa kiaina, kimbembe...
3 Reactions
14 Replies
935 Views
Tumia Uzi huu kufahamu maneno au misamiati au misemo inayotumiwa na watu wa usalama kuwasiliana mfano mbele ya MTU kuna MTU na nyuma ya MTU kuna MTU. Masnit signit sponsor namba moja nk ongezea...
2 Reactions
44 Replies
8K Views
I am looking for a "FLUENT ENGLISH SPEAKING PARTNER(S) " Hello forum members, I hope you are doing great and those going through various challenges the Almighty God shall grant you strength...
5 Reactions
74 Replies
14K Views
Wataalamu wa lugha tuelimishane kidogo yupi hapo ni shangazi na kwanini maana hawa watu wawili huwa wananichanganya
5 Reactions
126 Replies
5K Views
Wakuu, Naomba wingi wa maneno haya; 1.Ulimwengu 2.Uchumi Ahsante
2 Reactions
60 Replies
2K Views
Nyota ya Kiswahili imeendelea kuangaza Kimataifa baada ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kuridhia Lugha hiyo kuwa moja ya Lugha zitakazotumika Rasmi katika...
0 Reactions
0 Replies
486 Views
A - a -a prep. of. -a baridi adj. cold. abiria n. passenger. -abudu v. worship; adore. -a bure adj. free. -acha v. cease; allow; leave; let go; abandon. -achana v. leave each other...
8 Reactions
50 Replies
58K Views
Markhamia lutea
0 Reactions
2 Replies
413 Views
"Maana ya Jina la Kichaga 'Monoruwa' – Msaada Tafadhali!" "Habari zenu wana jamii! Nina swali kuhusu jina la Kichaga 'Monoruwa'. Naomba mwenye ujuzi wa lugha ya Kichaga au historia ya majina...
0 Reactions
2 Replies
780 Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye elimu
7 Reactions
65 Replies
3K Views
Wanaosema hii lugha ilikuja na meli hawakukosea. Kuna maneno ya Kiingereza nilikuwa nayatamka visivyo kwa kipindi kireeefu. Nimekuja gundua baadaye nikajiona kilaza sana. Haya baadhi ya maneno...
4 Reactions
356 Replies
40K Views
Back
Top Bottom