Nini tafsiri ya Download? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini tafsiri ya Download?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Masikini_Jeuri, Jul 27, 2011.

 1. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Yawezeka na imeulizwa lakini nahitaji msaaada wa haraka; tafsiri ya neno download ama ku download kwa kiswahili sanifu
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Down=Chini
  Load=Mzigo/ingiza/pakia

  Kwa mtazamo wangu nadhani ni Mzigo wa chini
   
 3. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tafsiri sisi..Cheki na BAKITA au TUKI
   
 4. Mbavu mbili

  Mbavu mbili JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 803
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  HAPO utakuwa umefanya tafsiri sisisi (neno kwa neno)
  Si vibaya kutoa maoni yangu kwa jinsi ulivyofikri... Maana ya ya kisemantiki ndio inatakiwa tuifanyie kazi
   
 5. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Download = Pakua

  Upload = Pakia
   
Loading...