Kwa nini neno MBWA litumike? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini neno MBWA litumike?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by KAUMZA, Jul 30, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  UKITAKA KUNYWA SUPU YA MBWA, SHARTI IWE YA MOTO!!! Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu msemo huu. Maana ya msemo huu hainitatizi sana, kinachonitatiza ni kuwa kwa nini wahenga waliamua kutumia neno MBWA na si mnyama mwingine, ilhali wakijua kuwa katika jamii nyingi za kitanzania MBWA si chakula cha binadamu labda kwa ndugu zangu wahehe.
   
 2. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Ingekua vizuri zaidi kama research yako ungeiusisha jamii husika, maadam ushaitaja mwenyewe
   
Loading...