njiwa JF-Expert Member Apr 16, 2009 12,368 5,512 Jul 9, 2011 #2 Ahirisha ndio sahihi .... mfano katika kamusi wameandika hivi postpone = kuahirisha
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,701 Jul 9, 2011 Thread starter #3 njiwa said: Ahirisha ndio sahihi ....mfano katika kamusi wameandika hivi postpone = kuahirisha Click to expand... Asante mkuu, kumbe watangazaji wetu ndio huwa wanakosea!
njiwa said: Ahirisha ndio sahihi ....mfano katika kamusi wameandika hivi postpone = kuahirisha Click to expand... Asante mkuu, kumbe watangazaji wetu ndio huwa wanakosea!
R rununu Member Jun 26, 2011 57 2 Jul 12, 2011 #4 hahirisha hutokana na athari za kilahaja, sahihi ni kama alivyochangia mwenzetu.