Wakalimani tusaidieni hili

Babu mchumi

Member
Jul 5, 2011
62
11
Habari zenu tha great thinkers!
Jaman nimesoma mpaka six na sasa nipo chuoni lakini sijajua kutafsiri usemi huu kwa kiingereza "baba mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa?" naombeni nisaidiwe kutafsiriwa hili!
 
Nawe tusaidie kutafasiri hii kwa Kiswahili: "Hit the road Jack and don't you come back no more."
 
Back
Top Bottom