"swaumu" kwa kiingereza ni...

Fasting ni kufunga, hakuna tafsiri ya neno swaumu kwa kiingereza hizo ni lugha za madrasat. PERIOD.
 
ahh! maswali mengine!.. mkuu umeshindwa hata ku google..?!
 
Ha! da Rosa bora aliyeniambia fasting; maana katika istihila za kidini waanglikani hawatumii "closing'. Lakini pia Asante!
 
swaumu, saumu which is which na kile kitunguu kinaitwaje...kitunguu saumu au kitunguu swaumu?
 
swaumu, saumu which is which na kile kitunguu kinaitwaje...kitunguu saumu au kitunguu swaumu?
Ukisikia ujinga ndio huu, mtu ameuliza swali na wewe unakuja kuuliza swali badala ya kuja na jibu! huu ni uzembe wa hali ya juu kama huna unalolijuwa ni bora uskip thread ziko nyingi sio lazima uchangie hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom