Ni nini mchango wa kiswahili na suala la umoja wa kitaifa baada miaka hamsini kwa Watanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nini mchango wa kiswahili na suala la umoja wa kitaifa baada miaka hamsini kwa Watanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by nkyandwale, Aug 5, 2011.

 1. nkyandwale

  nkyandwale Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Naamini tumekuwa weledi katika historia ya lugha ya kiswahili, Je, nini mchango wa lugha hiyo katika suala la umoja wa kitaifa ? Hususan katika muda wa miaka hamsini ya uhuru wa Watanganyika na Watanzania kwa ujumla?
   
 2. Mbavu mbili

  Mbavu mbili JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 803
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  ?Kimeunganisha (ni kiungo muhimu cha watu wa kaida zote)
  ?Kiungo muhimu cha mawasiliano baina ya watu mfano ktk Biashara
  ?Lugha ya kufundishia
  ?Kitambulishi cha utamaduni wa mswahili na mazingira yake
   
 3. nkyandwale

  nkyandwale Member

  #3
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Unanichanganya mbavumbili ! mswahili ni nani ? upojenga hoja ya kiswahili na mswahili?
  ?Kitambulishi cha utamaduni wa mswahili na mazingira yake "
   
Loading...