Kwa wafugaji wa mbwa msaada wenu tafadhali!

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Kwa mnaofuga mbwa kuna usemi unasema; MBWA UKIMJUA JINA HAKUSUMBUI wengine HAKUPI SHIDA - Ni zipi hasa tabia za mbwa kama unamjua jina? Ina maana ukimuita kwa jina lake hupunguza ukali?
 
Anakucheki tu kama vipi anarecall hisia zake na harufu yako ya mwili kama anakufahamu au la. Akikuamulia saa zingine hata ukimuita kwa jina lake hakusikilizi. Act friendly to the dog na atajua you don't mean any harm to him or her.
 
Nilifikiri ukimjua jina hata awe mkali vipi ukimuita anapoa nilitaka kuanza kuorodhesha majina ya mbwa wa eneo fulani kwani nashindwa kupita hapo wakati wa usiku. Dah! ingekuwa poa Ukipita ni Bobi bobiiii..... Jeck....jeck..., simba... Halafu mbwa wengine wana majina kama ya binadamu..... Juma, Hamisi, John, Mage, paulo..... Ingekuwa poa sana pale ningepita bila wasiwasi hata saa nane za usiku!
 
Back
Top Bottom