Msaada wa Lugha tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa Lugha tafadhali

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Ziltan, Jun 4, 2012.

 1. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,345
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Heshima mbele wakuu,
  naomba msaada wa kuelewa hizi post kwa kiingereza,
  1.Afisa Elimu vifaa na takwimu
  2.Afisa Elimu Taaluma.
  3.Afisa Elimu vielelezo.
   
 2. Omonto wa-hene

  Omonto wa-hene Senior Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Bahati nzuri mimi ni mdau wa elimu na hawa wadosi wote ninajua majina ya nyadhifa zao kwa Kiingereza. Hawa huitwa:
  Afisa Elimu Vifaa na Takwimu - anaitwa Statistics and Logistics Officer (S.L.O.) Cheo hiki kipo katika ngazi ya Wilaya na Mkoani hakuna Afisa mwenye cheo cha namna hii
  Afisa Elimu Taaluma - Wilayani anaitwa DAO-kwa maana ya District Academic Officer na Mkoani anaitwa RAO-kwa maana ya Regional Academic Officer.
  Afisa Elimu Vielelezo - Bahati mbaya cheo hiki pia hakipo katika ngazi ya Mkoa ila wilayani tu. Kwa hiyo huyu anaitwa DAVO kwa maana ya District Audio-Visual Officer

  Ninawasilisha!
   
 3. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ziltan naona hapa Mkuu Omonto wa-hene amekijibu vizuri
   
 4. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,345
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  omonto wa hene okore bhuya mbane
   
 5. Omonto wa-hene

  Omonto wa-hene Senior Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Ziltan, wakorhaa! Wakorha kusiima, waitu!!!!
   
 6. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  akchuare umejibu swali vizuri.
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  kiswahili kigumu
   
Loading...