Kunungunuka na kulalamika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kunungunuka na kulalamika

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Umutimbaru, Feb 7, 2012.

 1. Umutimbaru

  Umutimbaru Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15


  Wana JF nini tofauti Kati ya hayo maneno hapo juu.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kunungunuka ndiyo nini?
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Kunung'unika - ndio neno sahihi
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kunung'unika ni kulalamika moyoni bila kufikisha ujumbe kwa mhusika.
  Kulalamika ni kueleza malalamiko yako ktk sehemu inayohusika au mtu anayehusika.
   
 5. Umutimbaru

  Umutimbaru Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  nashukuru kwa kunusahihisha
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Mkuu vipi leo?.......
   
 7. Umutimbaru

  Umutimbaru Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  nashukuru kwa jibu.
   
 8. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mara "kunungunuka" unaelekezwa ndo unazidi kuharibu "kunusahihisha"

  Yapasa upigwe jeki, Sikia Umutimbaru,
  Mbona haueleweki, Nenda kasome ngumbaru,
  Nakueleza rafiki, usijifanye kifaru,
  Soma uje kuwa huru, ama sivyo haufiki.
   
 9. Umutimbaru

  Umutimbaru Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kupigwa jekio ndo?
   
 10. Omonto wa-hene

  Omonto wa-hene Senior Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nimeipenda 'shule' ya nimie kwa Umutimbaru!
  Halafu huyu jamaa anajidai kujiita Umutimbaru lakini
  mimi nimemstukia. Huyu ni Nshomile live!! Hata hivyo
  ninapenda kumsisitiza kwamba kila anapoandika uzi wowote
  afanye juhudi kubwa kurudia rudia kuusoma kwa lengo la kufanya
  masahihisho kabla ya kutuma. Hiyo itamsaidia kuepuka au kupunguza
  'utumbo'!
   
 11. Umutimbaru

  Umutimbaru Member

  #11
  Jun 13, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Nashukuru umonto uhene, lakini ujumbe siumefika. Kwani shida ni nini, ni maandishi au ujumbe. 'Ndamanya unyunguye'
   
 12. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kunung'unika ni sawa na kusononeka
   
Loading...