Kwa wasomaji wa Riwaya na hadithi, Someni hii!

Ahmad Mussa

Member
Oct 21, 2011
46
19
Habari, nimetunga riwaya ambayo nategemea nitapata maoni yenu kwani iko mbioni kuchapishwa. Na hapa nimeona niwawekeeni kitabu hicho na nitarudi kupata maoni yenu baada ya kukisoma. Nategemea sana maoni na ushauri wenu wana JF wote ambao ni wapenzi na washabiki wa Riwaya. KARIBUNI. mzigofinal3-001.jpg
 
Attachments

  • MZIGO kitabu.pdf
    564.7 KB · Views: 751
Nafikiri kuna umuhimu kuweka Jukwaa la Fasihi ili hawa watu nao wapate
nafasi nzuri zaidi, matokeo yake utawakuta jukwaa la Entertainment na
Lugha. Ni bora Mods mukafungua jukwaa maalum la watunzi.
Umenena Vema sana, kwani washabiki tuko wengi... unajua watu mpaka leo
wanafikiri watu wanaonunua magazeti ya udaku wanafuata zile habari za kipuuzi
za wasanii, si kweli hata mimi ni mnunuaji nzuri wa magazeti haya lakini ninachofuata
ni riwaya ambazo zinapatikana humo.
 
Habari, nimetunga riwaya ambayo nategemea nitapata maoni yenu kwani iko mbioni
kuchapishwa. Na hapa nimeona niwawekeeni kitabu hicho na nitarudi kupata maoni yenu
baada ya kukisoma.

Nategemea sana maoni na ushauri wenu hasa kutoka kwa mzee mwanakijiji na Lizy kwani
wao nimewaona wakiandika hapa. Karibuni. (Kitabu kipo kwenye mfumo wa PDF)

View attachment 54349

Kwa kuwa umetutaka tufanye mapitio ya riwaya hii, nipe muda. Nitarudi muda si muda nikiwa na maoni yangu mkononi
 
Habari, nimetunga riwaya ambayo nategemea nitapata maoni yenu kwani iko mbioni
kuchapishwa. Na hapa nimeona niwawekeeni kitabu hicho na nitarudi kupata maoni yenu
baada ya kukisoma.

Nategemea sana maoni na ushauri wenu hasa kutoka kwa mzee mwanakijiji na Lizy kwani
wao nimewaona wakiandika hapa. Karibuni. (Kitabu kipo kwenye mfumo wa PDF)

View attachment 54349

Kwanza hongera kwa kuandika kitabu.(Nikikisoma nitarudi)

Pili, ukitaka maoni ya wachache ni vema ukawaandikia hao wachache moja kwa moja(kwa kuwatumia jumbe binafsi). Wengine wana anwani pepe.....blabla@jamiiforums.com.Unaweza kutumia hizo pia.

Ningeshukuru kama mzee mwanakijiji angepita hapa.

Ah, punguza mayowe basi wewe...ushaweka mzigo, subiri wabebaji waje na maoni uliyoomba. Utaambiwa tu mzigo unauzito kiasi gani.Vuta subira.
 
Mbona umeiweka sokoni kabla jamani
Can you imagine kama mie ni print nipelekee ndugu zangu pale kijijini nao wasambaze na kuasambaza

Siku kitabu kinatoka wataanza ooh hii nimeisoma sehemu..
Ngoja MzeeMwanakijiji aje akusaidie

All the best
 
Last edited by a moderator:
Ningeshukuru kama mzee mwanakijiji angepita hapa.
Ahmad Mussa kumbe pana wanajamvi fulani fulani uliowalenga wakufanyie mapitio ya riwaya yako? Samahani; mimi nilijikuta nimedandia gari kwa mbele na nikaahidi kuifanya kazi hiyo ikiwa ni mchango wangu kama mwanajamvi. Ninarekebisha dosari hiyo kwa kujitoa rasmi ili ikikupendeza unipe mwaliko kama unavyotoa kwa wanagenzi wengine. Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh!
Nimejitoa!!!!!!!
 
Ndugu mmoja alisema 'Watanzania ni wavivu' nikamuuliza 'katika nini?' Kumbe nimegundua sehemu mojawapo ni katika kujisomea! Mbona comments nyingi kabla ya kusoma? Nani kapitia riwaya hiyo?
Nitarudi nikimaliza kusoma.
 
Habari, nimetunga riwaya ambayo nategemea nitapata maoni yenu kwani iko mbioni kuchapishwa. Na hapa nimeona niwawekeeni kitabu hicho na nitarudi kupata maoni yenu baada ya kukisoma. Nategemea sana maoni na ushauri wenu wana JF wote ambao ni wapenzi na washabiki wa Riwaya. KARIBUNI. View attachment 54349

Hahaha almasi si almasi...albino.Pole...
Matukio yanatabirika kirahisi....
Soma soma kwanza riwaya za wengine 'kwa sana'...

Mengine nawaachia watalamu uliowakusudia...hongera,umethubutu, umejaribu...unaweza kufanya vizuri zaidi ya hapo.
 
Ahmad Mussa kumbe pana wanajamvi fulani fulani uliowalenga wakufanyie mapitio ya riwaya yako? Samahani; mimi nilijikuta nimedandia gari kwa mbele na nikaahidi kuifanya kazi hiyo ikiwa ni mchango wangu kama mwanajamvi. Ninarekebisha dosari hiyo kwa kujitoa rasmi ili ikikupendeza unipe mwaliko kama unavyotoa kwa wanagenzi wengine. Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh!
Nimejitoa!!!!!!!
Omonto, tafadhali rudi hapa nakuhitaji na wewe pia, hao niliowataja moja
kwa moja ni kwa sababu nimewahi kuwaona kwenye Fani husika.
 
Ndugu mmoja alisema 'Watanzania ni wavivu' nikamuuliza 'katika nini?' Kumbe nimegundua sehemu mojawapo ni katika kujisomea! Mbona comments nyingi kabla ya kusoma? Nani kapitia riwaya hiyo?
Nitarudi nikimaliza kusoma.
Buchana bado hujamaliza?
 
Hahaha almasi si almasi...albino.Pole...
Matukio yanatabirika kirahisi....
Soma soma kwanza riwaya za wengine 'kwa sana'...

Mengine nawaachia watalamu uliowakusudia...hongera,umethubutu, umejaribu...unaweza kufanya vizuri zaidi ya hapo.
Mkuu hapana! Hauko vizuri sana katika uchambuzi, sanasana umekosoa
tu, Mtiririko wa hii Riwaya ambao umenifanya niwasiliane na mwandishi na
baada ya kunieleza kuwa ni Riwaya yake ya kwanza nakuhakikishia kuwa huyu ndiye
miongoni mwa waandishi wanaokuja kuziba nafasi za wakongwe kama B.Mtobwa n.k
nampongeza sana ni mtiririko nzuri unaojenga taharuki.
 
Taratibu za uandish wa riwaya unazijua? Utawapaje wa2 wasome mswada wakat ushaprint kitabu? Hayo marekebsho utakayopewa utaweka wap? Cku ingne ucruke steji coz kila ha2a ina umuhmu wake.
 
Taratibu za uandish wa riwaya unazijua? Utawapaje wa2 wasome mswada wakat ushaprint kitabu? Hayo marekebsho utakayopewa utaweka wap? Cku ingne ucruke steji coz kila ha2a ina umuhmu wake.
 
Back
Top Bottom