Tupia lako ulilolielewa ndivyo sivyo

princess enny

JF-Expert Member
May 27, 2012
1,038
379
kuna dogo mmoja alikuwa anafuatilisha tangazo la EATV!!! "together tunawakilisha" nikamuuliza together maana yake nini akasema "tunawakilisha" hayyyya tena na we tupia lako ambalo ulilielewa ndivyo sivyo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom