Shiriki katika utafiti juu ya matumizi ya kiswahili na kiingereza nchini tanzania

dunotis

New Member
Jun 14, 2012
1
0
Ndugu mwana Jamii Forum,

Nakuomba uweze kushiriki katika tafiti hizi mbili kwa kujaza dodoso zinazopatikana katika links zifuatazo:

DODOSO NAMBA 1: ATHARI ZISIZO ZA MOJA KWA MOJA ZA KIINGEREZA KWA KISWAHILI NCHINI TANZANIA
https://bildungsportal.sachsen.de/survey/limesurvey/index.php?sid=72832&lang=en

DODOSO NAMBA 2: UPEKEE WA KIINGEREZA CHA TANZANIA

https://bildungsportal.sachsen.de/survey/limesurvey/index.php?sid=99363&lang=en


Tafadhali tuma maoni, maswali au mchango kwa: dunotis@yahoo.com
 
dunotis Sijui unalenga kupata majibu toka kwa watu wa aina gani lakini nina wasiwasi kama utapata majibu murua katika dodosa namba 2. Enewei nimesaidia kiasi, na ninataka ripoti ya maendeleo ya utafiti huu. Sikupi barua pepe bali utanitumia hapahapa kwa PM.

Kila la kheri
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom