Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,328
Wakuu.
Natambua heshima ya hali ya juu ya jukwaa hili ikiwa ni pamoja na kuwa daraja la kupitisha habari na taarifa kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine.
Hata hivyo mara kadhaa hapa jamvini kumekuwa na matumizi ya lugha zenye ukakasi na nyingine zikiwa na ncha kali kana kwamba hazitoki kwenye mitima ya Ma great thinkers. Wakati mwingine huwa napata tabu kuwa huenda jamvi linakosa udhibiti na kuvamiwa na watoto walio kosa staha na ku sheheni lugha za kule fb au lugha za balehe na kuvunja ungo.
Unakuta great thinker anakuja kutaka msaada mathalani wa kuchagua kozi anasema ame maliza XUL, hivyo anataka ku-join VACITY. Au unakuta kwenye mjadala wa maana mtu anachangia HABARI YAKO BHANAA! Nk.
Naomba ukimaliza kusoma uzi huu weka mifano ya lugha usizopenda zitumike kisha mkanye mwingine ili asi tuchafuliwe na kuonekana wote ni walewale.