Habarini zenu!
Msaada wa kuwatofautisha wanyama hawa na majina yao kwa kiswahili
Cheetah
Tiger
Leopard
Kwa anayejua tabia zao na ni yupi ambaye ni hatari zaidi kwa binadamu na nchi gani wanapatikana zaidi, cause nimehabarishwa, in Tanzania hakuna Cheetah walaTiger, but wapo Leopard tu.
Msaada wenu please!