Asiyefunga kuitwa KOBE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asiyefunga kuitwa KOBE

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Wajad, Aug 1, 2012.

 1. W

  Wajad JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Mtu asiyefunga mwezi wa Ramadhan huitwa KOBE. Swali: nini asili ya jina hili? Kuna uhusiano gani kati ya asiyefunga na mnyama kobe? Kwa nini asingeitwa NGURUWE kabisa kwasababu mnyama huyo ni mlafi na ni haramu?
   
 2. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nadhani k/sbb labda wasiofunga, hasa wale wasiotaka kuonekana kuwa hawajafunga, hula kwa kujifichaficha km afanyavyo kobe. Kobe anaweza kula huku kichwa chake kikiwa ndani ya gamba lake, na hivyo kutoweza kuonekana.
   
 3. 1

  19don JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kwa sababu wanakula kimya kimya aka pole pole kama kobe
   
 4. W

  Wajad JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Ahsante Pen, Asanta Don.
   
Loading...