Food for thought | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Food for thought

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Aqua, Jul 26, 2012.

 1. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Samahani naomba msaada kuhusu tofauti ya maana ya sentensi hizi "I am going to the market" na "I am going to market"au "I am going to church" na "I am going to the church"
   
 2. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  I am going to market maana yake nakwenda sokoni, I am going to the market maana yake nakwenda kwenye soko fulani (specific). unaposema to the market maana yake unazungumzia soko hilohilo ambalo tayari liko kweny mjadala. nitakupa sentensi mbili za mfano

  1. I always to go market when the prices drop. (hapa unazungumzia soko lolote)
  2. Kariakoo is the biggest market in dar es salaam, I often got to the market for all my needs. (hiyo the inasimama badala ya hilo soko ambalo umeshalitaja yaani kariakoo)

  I hope umesaidika kujieleza ni ngumu kidogo Aqua
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,934
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Hiyo sentensi ya pili ina utata kwa sababu neno "market", mbali ya kuwa ni nomino/noun linaweza pia kubeba maana ya kitenzi/verb. Kwa hiyo, ukitoa hiyo sentensi ya pili (bila kuwa na muktadha), kuna uwezekano unayemwambia akakuuliza: "....to market what [product]?" ama "what [product] are you marketing?".
   
 4. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Dear SMU, Aqua ametaka kujua tofauti kati ya 'going to market' na 'going to the market' naona wewe ndio unataka kutoka nje ya muktadha wa swali lake la msingi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,934
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Nadhani hujanielewa tu. Ni kweli yeye ametaka kujua tofauti ya sentensi hizo mbili kwa maana kuwa pengine anataka kuitumia mojawapo
  ili kufikisha ujumbe anaoukusudia. Kwa hiyo, nilichofanya nimejaribu tu kuonesha kuwa endapo ataamua kutumia sentensi hiyo ya pili ni vema akawa makini kwa sababu inaweza kuwa na maana zaidi ya moja na hivyo ni vema kuzingatia muktadha. Tupo pamoja wakuu wangu Lukansola na Aqua .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Going to market=in this the word market has been used as a verb i.e going to a certain market to buy something
  Going to the market=in this it means going to a specific market but not for the aim of buying something from that market,this statement may cause the other person to ask you.When you say "I am going to the market",you may be asked question like "To do what?".
  Going to church=church has been used as a verb,this means going to a church,reason to pray
  Going to the church=going to the church reason not to pray,say to see someone or meet someone.
  I might not be good in explaining but that is it.
   
 7. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  You are right. I read about this in "Common Mistakes" a long time ago. But ni msaada gani uliokuwa unauhitaji then?!
   
 8. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Nilitaka kutoa msaada kwa kuomba msaada kwanza,I love language that is why nilitaka kujua ufahamu wa waTz wenzangu ktk lugha.Lugha ni tatizo,coz misaada haikuwa mingi aidha watu wanajua ila hawataki kushea knowledge au hawajui.OK,Thanks
   
Loading...