Ebu wanajukwaa wataalamu wa kiswahili nipeni maana ya neno lagoon kwa kiswahili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ebu wanajukwaa wataalamu wa kiswahili nipeni maana ya neno lagoon kwa kiswahili

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Advocate J, Jul 20, 2012.

 1. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  wana jf ninaomba mnipe neno moja la kiswahili kutoka kwenye neno lagoon ambalo ni la kiingereza
   
 2. Trueboy

  Trueboy Senior Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 170
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Kiswahili bado hakija jitosheleza kimsamiati ina wezekana hilo neno halina tafsiri ya moja kwa moja kuja lugha ya kiswahili.
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Lagoon ni mkondo wa bahari
   
Loading...