Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
jamani nimepata nafasi ya kwenda kusoma msumbiji sasa kabla sijaenda ningependa kujifunza kireno ambacho ndo lugha yao,JE NI WAPI NAWEZA NIKAJIFUNZA KIRENO KWA HAPA DAR..
0 Reactions
3 Replies
2K Views
brand (inayotokana na employment brand) - analysis - engagement (katika kazi) - shukrani waswahili wenzangu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ipi ni sahihi Kati ya wavuti na tovuti?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo kila kitu kinachukuliwa na kupelekwa kisiasa kama tu kitakuwa kinawanufaisha Watawala. Tanzania ni nchi pekee ambapo Polisi nao eti wanaitwa "JESHI" na hiyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je kwenye kifo,ni watu gani wanastahili kuitwa hayati na sio marehemu,,,wanaangalia vigezo gani? Namna huyo mhusika alikufa nayo inazingatiwa katika kuitwa hayati au marehemu? Kama vile labda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I need to know the meaning of this phrase and how it is used!
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mradi wa Mabasi Yaendayo Kasi - Men At Work = Watu Wapo Kazini? au Men At Work = Wanaume Wapo Kazini?
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Kwa wanaojifunza lugha ngeni, mf. Kiingereza, kwa vyovyote vile hawewezi kuimudi iwapo hawatafanya mambo yafuatayo: kusikiliza, kuongea, kusoma, na kuiandika kwa lugha hiyo ngeni. hii ni kwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna mdogo ameniuliza maswali nami yamenipiga chenga, 1. neno gani la kiswahili lina maana sawa na neno kibogoyo ? 2 panga neno lifuatalo lillete maana ya kiswahili " RAHASIHI " Natanguliza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF, Nimekuwa niliyasikia maneno haya mara kwa mara yakitumika. naomba maana yake. Maneno yenyewe ni kama ifuatavyo:- Zingua Mzuka Swaga Gozi-gozi Asenteni sana wana JF.
0 Reactions
1 Replies
14K Views
nimejaribu kutafuta huku na kule ili kujua maana ya LUKU,is it an abbreviation?ni lugha gani? shukran
0 Reactions
16 Replies
20K Views
Wana jamiii na wajuzi wa lugha mnisaidie kujua kama hilo neno kinyemela ni kiswahili sanifu. Nimemsikia naibu waziri wa Elimu Bw. Philipo Mulugo akiwaasa wakuu wa vyuo vya ualimu wanaodahil...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa heshima na imani kubwa sana ambayo ninayo naomba mnisaidie maana ya maneno yafuatayo na tofauti zake 1. NDOTO 2.MAONO maana yananitatiza saaana pia nawaomba mnielezee Maana halisi ya CHOTARA...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Asanteni wote mlionisaidia na mtaoendelea kunisaidia kuelewa lugha ya Kiswahili. Naomba mjue kuwa ninazo kamusi lakini mara kwa mara utakuta kuna maneno hayapo...au labda tatizo langu sio...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hi jf members naomba kufahamu matumizi ya miundo ifuatayo: -so as..... -so that.., -notwithunderstanding..... -nevertheless.., -no matter..., -such as..., Nawasilisha.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanajamvi habari zenu,nimekuwa mdau wa kuchukua yale yanijengayo katika pilika zangu za kielimu na leo naombeni msaada kwa hili"mother tongue is not necessary a mother's tongue justify. Naombeni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nini kinaitwa mlango kati ya ule uwazi wa kuingilia au kile kinachoziba ule uwazi auvyote vinaitwa mlango?
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habar wadau mimimni mwanafunzi na napenda kuwa mwalimu hapo baadae ila nashindwa kutofautisha katika matamshi r na l pia the na ze je naweza kubadilika na je ni kwa kufanyaje natanguliza shukran zangu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wana JF hususan wa jukwaa hili la lugha! Nimekuwa nikitafuta kwa muda mrefu mwalimu (kituo kizuri) mzuri wa lugha ya kiingereza na nilipata kumsikia jamaa anayeitwa RAS SIMBA,naomba kuuliza...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Back
Top Bottom