Neno kinyemela ni kiswahili sanifu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Neno kinyemela ni kiswahili sanifu

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by moto2012, Sep 6, 2012.

 1. moto2012

  moto2012 JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 2,171
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Wana jamiii na wajuzi wa lugha mnisaidie kujua kama hilo neno kinyemela ni kiswahili sanifu. Nimemsikia naibu waziri wa Elimu Bw. Philipo Mulugo akiwaasa wakuu wa vyuo vya ualimu wanaodahil wanfunzi wa vyuo vyao bila kufuata taratibu za wizara
  Karibu tujadili
   
 2. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Kama umesikia likitumiwa na waziri basi linafaa. Watu wengine bwana.
   
 3. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,932
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  moto2012 neno Kinyemela ni neno sanifu na hata kwenye Kamusi ya TUKI lipo


  Kwa mujibu wa KAMUSI ya TUKI:


  kinyemela = quietly; secretly:


  Amemwendea kinyemela =
  he has gone behind her back.


  Radhia Sweety punguza hasira
  .
   
 4. moto2012

  moto2012 JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 2,171
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Asante sana
   
 5. moto2012

  moto2012 JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 2,171
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Asante mkuu, radhia hana hasira
   
Loading...