Ras simba

jipitishe

Member
Sep 12, 2011
55
10
Habar wana JF hususan wa jukwaa hili la lugha!
Nimekuwa nikitafuta kwa muda mrefu mwalimu (kituo kizuri) mzuri wa lugha ya kiingereza na nilipata kumsikia jamaa anayeitwa RAS SIMBA,naomba kuuliza yafuatayyo:
1: Ofisi zake zilipo
2: Kwa wanaomfahamu naomba wanipatie sifa zake ama uwezo wake ktk kufundisha kiingerza hususan cha kuongea

Sio mbaya kama pia mtanitajia mwalimu mwingine yeyote anae tisha ktk kufundisha kiingereza anayepatikana DAR.

Natanguliza shukran zangu kwenu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom