Hili ndo jina la laptop kwa Kiswahili. Kwanini hawa baraza la Kiswahili wanatuletea tafsiri ambazo zinatupa mtihani kuzitamka??
Source. TBC1 jambo Tanzania ya Leo.
je unayafahamu makosa yanayotumika katika mazungumzo yetu kila siku?
Mfano:
Charge-charger(nipatie chaji yangu ya pini ndogo)badala ya chaja .........
Wimbo-nyimbo(nyimbo hii......)badala ya...
Kama hapa ni nyumbani kwa wazamivu waliobobea katika kufikiri (Great thinkers) basi na matumizi ya lugha nayo yazingatiwe. Ingawa dunia nzima inajulikana kwamba lugha za asili huathiri lugha za...
Hadi leo sijui kwanini au ilianzaje mpaka
housegirl - akaitwa beki tatu
Dereva- akaitwa suka
Shilingi mia- ikaitwa jiti
mtu mfupi - akaitwa andunje
tupia hapo chini na wewe kama hujui kiswahili...
imekua desturi ya Tanzania,ya kwamba kiongozi yeyote(especially MBUNGE) kuitwa muheshimiwa. MI nnavyoona kiongozi yupo pale kuwafanyia kazi wananchi. kiongozi - sisi TU MLIPE...
Ukienda ofisi za TRA nikawaida kusikia:
'wateja' - "motor vehicle ya pikipiki yangu imeshatoka..!?"
'TRA officers' - "tayari au bado"
....hii ni LUGHA GANI na wanamaanisha nini..!?:A S 465:
Katika kamusi iliyotolewa na Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam), "English-Kiswahili Dictionary" kuna neno CCM, n(abbr. of ) Chama cha Mapinduzi. Hivi kweli huku si...
Katika kamusi iliyotolewa na Taasisi ya
Uchunguzi wa Kiswahili (Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam), "English-Kiswahili
Dictionary" kuna neno CCM, n(abbr. of )
Chama cha Mapinduzi. Hivi kweli huku...
Wadau nasikitika kuwa kampuni ya simu ya mikononi Tigo wanakata fedha katika simu kila wanapotuma SMS zao juu ya ujio wa Rick Ross kwenye tamasha la fiesta, Binafsi sijaomba kupewa taaarifa zozote...
Truly God gives peace that no one can give.
Truly God is the protector than no one else.
Truly God can lead prudent leaders to maintain peace in the land, but the unwise he will not support...
Watangazaji wengi wa radio na luninga wanapenda sana kutumia msemo huu, "muda si rafiki tena" wakati kipindi kikifikia mwisho wa muda wake uliopangiwa. Je wataalamu msemo huu ni sahihi, Naomba...
Katika Majukwaa Yaliosinzia,Jukwaa Hili Limetia Fora. Hakuna Threads Mpya Na ata M2 akiweka Thread Hakuna Anaehangaika Nao.
Kwa Mwendo Huu 2tajifunza Nini? Kiukweli Mpaka Michosho.hasanteni Na...
mfano umeweka simu yako kwenye mfuko wa suruali, lakini wakati unatembea kwa bahati mbaya simu ikapiga namba ya mtu (ikajipiga yenyewe) bila ya wewe kufahamu! tunasemaje kwa kiingereza kitendo cha...
Sometimes in life we waste much time and energy seeking/searching for things that are not important and things that even if we get them we can not make use of them.
Rural wisdom
On a platform...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.