Swali: Hadhi ya mtu mfu

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,407
1,110
Je kwenye kifo,ni watu gani wanastahili kuitwa hayati na sio marehemu,,,wanaangalia vigezo gani? Namna huyo mhusika alikufa nayo inazingatiwa katika kuitwa hayati au marehemu? Kama vile labda kauawa ama kafariki mwenyewe.
 
Back
Top Bottom