msaada wa maswali haya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa maswali haya?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by mathematics, Sep 9, 2012.

 1. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,287
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kuna mdogo ameniuliza maswali nami yamenipiga chenga,

  1. neno gani la kiswahili lina maana sawa na neno kibogoyo ?

  2 panga neno lifuatalo lillete maana ya kiswahili " RAHASIHI "

  Natanguliza shurani,
   
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  1. Kigego
  2. Ahirisha
   
Loading...