Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
How many phonemes in English do we have? Which are they? How can they be categorized? What is stress? How can we simply know places stress to be used? Lastly,i would like to know the simplicity of...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
A few years ago, nobody thought as sacrilegious the day when a young Nairobi Christian would refer to God as ‘ Father wa Ma-sky ’. That is “Our Father in Heaven” in Sheng, and it is perfect...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
An old man appeared on a popular TV program. He had received a prize for having won a contest. He stole the show with his exuberant spirit and quick wit. ‘It’s easy to see, ‘remarked the...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Wadau wa jf najua most of the members humu ni wale madegree holders ambao munapenda kutumia sana kimombo kile kigumu kigumu na kutuacha cc fm 4 wa kata kutoambulia kitu eti'WIFE MATERIAL NDO NINI'...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi mtu ambae mmeoa katika familia moja, we umeoa mkubwa yeye kaoa mdogo unamuitaje? Mke wa mjomba ni sahihi kumuita shangazi? Mume wa shangazi unamuitaje? Baba yangu anamuitaje baba mkwe/mama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau wa lugha naomba mnipe ufafanuzi kwamba ukipiga picha hili basi lina wachezaji wa Yanga ndani (bila yule kocha mdhungu) kiburudisho kitakua nini? Maneno Yameandikwa BONGE LA KIBURUDISHO...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hivyo inakuaje mtu mzima unavaa tshirt kifuani ina maandishi makubwa kabisa ya IM PORN STAR ....Dah mi sion poa kabisa.
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Kabila la kichaga limagawanyika maeneo mangapi, je lugha ya kichaga imegawika maeneo mangapi ?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana jamvi tusaidiane LUGHA MAMA(lugha ya kikabila) inaathiri vipi maendeleo ya mwanafunzi kujifunza?
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Samahani kwa usumbufu wakubwa naomba kujua kwa lugha ya kingereza ghorofa linaitwaje?
1 Reactions
37 Replies
21K Views
Alama za wanafiki, ni tatu bora uzijue Katu nae haaminiki, japo ahadi azitoe Pia na hasadikiki, hatumizi maaganoe Alama yake ya pili...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Alifu hapa naanza, kwa kumuomba Manani, Ni Yeye ndio Muweza, kila kitu duniani, Hakuna Wakumweza, kwa hilo ninaamini, Tenda wema usahau, usingoje shukurani. Tenda wema wende zako, usingoje...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja wa watu ninaokwazwa sana na tabia ya rais Kikwete kuchanganya kiingereza anapoongea kiswahili kwenye hadhila mfano mzuri ni juzi kwenye mambo ya mitaa.Ninakwazwa kwa sababu nyingi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Haya ni maneno ya dada mmoja sasa hivi LIVE kwenye TV. Ila siyo Tanzania maana nilikuwa naangalia kwa kutumia KARAI. Hiki KIZAZI kipya kwa kweli KINACHEMSHA SANA. Mtoto ataamkaje AMEKUFA?????
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wanaojifunza lugha ngeni, mf. Kiingereza, kwa vyovyote vile hawewezi kuimudi iwapo hawatafanya mambo yafuatayo: kusikiliza, kuongea, kusoma, na kuiandika kwa lugha hiyo ngeni. hii ni kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ni mtu yupi maaruf hupeleka burudani ulimwenguni kote kila aendapo iwe nyuma ama mbele ni yule yule
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jamvi la lugha,kuna kitu nimekiona kwa mtu mmoja akitafuta kazi na ningependa kushare. Katika kuandika barua ya kuomba kazi kwa kiingereza ni tatizo kwa wengi,baadhi ya mapungufu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu Naona hili neno limeshika kasi sana karibuni kwamba huenda lilitoholewa vibaya hapo kabla, kumaanisha kufanya mapenzi ilihali maana halisi ni kujumuika pamoja (Ku-socialize)
0 Reactions
20 Replies
11K Views
Kuna haja gani ya kusimuliwa jambo? nasema hivi kwani bila shaka itatubidi tufahamu kila tunachosimuliwa ili twende pamoja.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasalaam JF members. Naomba msaada wa "direct translation" from Kiswahili to English ya hii sentensi. "BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI?" Natanguliza shukrani kwa yeyote atakayejalibu.
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Back
Top Bottom