Zaidi za kutafsiriwa...asanteni wote mnaokubali kunisaidia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zaidi za kutafsiriwa...asanteni wote mnaokubali kunisaidia

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Mama Mwamba, Aug 5, 2012.

 1. M

  Mama Mwamba Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asanteni wote mlionisaidia na mtaoendelea kunisaidia kuelewa lugha ya Kiswahili. Naomba mjue kuwa ninazo kamusi lakini mara kwa mara utakuta kuna maneno hayapo...au labda tatizo langu sio kutokuelewa kila neno, tatizo ni kuelewa maana ya sentensi. Na pia ninatumia Kamusi project, Wiktionary na Mwanasimba. Kama unajua mitandao mengine yanayoweza kunisaidia, nashukuru. Kama unauwezo na muda wa kunisaidia, I am grateful.Maswali yataendelea kuja...
  1.wadanganyika wa hali ya nchini
  2.Sounds mchicha
  3.Umeme uzalishwe na kudishwaMtwara
  4.mitambo ya umeme
  5.
  faida za wazi za upunguzagharama za mradi mara dufu na muda mfupi
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wewe ni Mtanzania? Na umezaliwa wapi? Umesomea shule wapi?
   
 3. M

  Mama Mwamba Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani nikikujibu ndio utanisaidia? lol
  Sawa. To answer your questons: Ndio. California. America.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Aisee!
   
 5. M

  Mama Mwamba Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aisee kwa vipi? Na majibu je :wink2:
   
 6. M

  Mama Mwamba Member

  #6
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "hata mbuyuulianza kama mchicha"
   
 7. Msimbo Pau

  Msimbo Pau Member

  #7
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naam, lakin huwezi kuung'oa na kwenda kuupanda pengine hasa kama umeshakomaa.

  *Maana ya ''mchicha'' ni ''vema au vizuri''.

  *''kundishwa'' nadhani ilitakiwa kuwa ''kurudishwa'' maana yake ''umeme upelekwe tena mtwara''.

  *Maana ya ''mitambo ya umeme'' ni ''mashine za kuzalisha/kutengeneza umeme''.

  *Maana ya ''faida za wazi'' ni faida zinazoonekana.

  *Maana ya ''kupunguza gharama za mradi mara dufu'' ni ''kupunguza gharama zaidi na zaidi''.
  *Maana ya ''muda mfupi'' hii kaitafute halafu urudi hapa unipe jibu.

  Ili huo mbuyu ukue unahitaji mbolea ya uswahilini sio kubonyezabonyeza tu. Tafuta mda tembelea waswahili-popote walipo-utajifunza kwa haraka zaidi.
   
 8. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mbona naona ni kama siasa imeingizwa kwa Lugha ya picha.
   
 9. M

  Mama Mwamba Member

  #9
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani asante sana kwa majibu na kwa ushauri wako. It is good advice. Language is complicated and culture and context are a big part of it. Kitu kimoja I want to clarify: Unajua hapo nilipoweka huo msemo wa "mbuyu...mchicha", nilikua naomba tafsiri. Kumbe nadhani wewe ulidhani natoa statement about myself. But strangely enough it can apply. And after reading it again, sijui kwanini niliomba tafsiri, I think I was reading the article late na nilikua nimechoka kwasababu hiyo sentensi ninaielewa. Ok, enough. Thank you again Msimbo Pau.
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  karibu sana
  usiogope kuuliza
   
 11. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Aisee ma natumika NIDA vipi, nikufanyie mpango wa Kitambulisho cha utaifa?
   
 12. M

  Mama Mwamba Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nikikubali ndio utanisaidia na kutafsiri. Geesh, good help is hard to find.
  Hii ndio niliyoyasoma hapa:

  Jukwaa la Lugha Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)

  Jifunze Kiswahili. Ninajaribu lakini naona watu wanapita, wanasoma na kuendelea zao. Very telling about the TZ mindset. You go to other language forums or other forums of folks who are not fraught with ego and self esteem issues, when you ask a question, if someone knows it they answer. Simple. We can talk and ask where we grew up, sawa. Getting to know each other is all good but answer the question. Simple. Isn't that what this forum is for or did I mistranslate "jifunze lugha". For a fluent Kiswahili speaker, maswali yangu yako simple. As a fluent English speaker, ask me a question and I got you! That's what Im here for, to learn and to help where I can. Lakini sawa, like I said, very telling of the Tanzanian mindset. Thanks to all who have responded and will continue to respond. As for me, I will continue to ask. Those who are not offended, I hope you'll answer. Rest assured if you have an English language question, if you ask and I have the means I will answer. Peace and love my fellow human beings. Over and out!
   
 13. Omonto wa-hene

  Omonto wa-hene Senior Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kha!! Kumbe wewe mama mwamba ni Mmarikani? Kwa kukusaidia tu, uwe na tahadhari kubwa sana na aina ya misaada unayoipata hapa JF. Wako wachangiaji wengine hupotosha uhalisia wa jambo linalojadiliwa pengine kwa makusudi au kwa maarifa yasiyo mapana. Kwa hiyo jambo lolote ulipatalo hapa nenda kalisome zaidi kwenye authentic sources. Halafu wewe unawadanganya wanajamvi kwamba utawapa msaada wa English? English unayoijua wewe ni ya kizushi tu. Unahitaji kujifunza English ambayo inaitwa RP ambayo wewe huijui kabisa. Unataka utufundishe slang hapa ili iweje?
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0


  hivi shule inasomewa enhh?eti baba?
  kiima vs kiarifu....?
  kielezi vs kitenzi?

  nn mi miss u...sjachambwa siku nying pls nipe kitu mutima yangu yataka....:israel:
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Unataka kuchambwa kwani umejinyea?
   
 16. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #16
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  MMMMMMMhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Aug 21, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  it looks like
   
 18. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa staili huwezi kupata msaada. Na wewe ondoa mindset za lawama. Hili jukwaa ni la watu wengi, hivyo tarajia kuwa kila mtu ana tabia zake hapa. Na si jukwaa hili tu na hata majukwaa mengine nje ya JF kuna watu wa masihara masihara. Kuanza kutulaumu wabongo unakosea sana, tena pale unapo-genaralise kwa kusema kuwa eti ni 'Tanzanian mindset'. Umejuaje kama hao wanaokuzingua wote ni wabongo? Au kwa kuwa wameandika Kiswahili? Na hao wanaokusaidia nao sio wabongo?!! Au wao hawapo kwenye lile kundi la 'Tanzanian mindset'? Wewe kama unataka kujifunza toa haja yako hapa jukwaani wenye majibu watakuja na kama wengine wataleta viroja basi wewe kuwa mpole na chambua yale yalo muhimu na achana na viroja. BTW, swali lako pia laweza kuwa kiroja au chanzo cha kiroja! Kuwa mpole basi, maana jukwaa pana hili.

  NB: Mie kule jukwaa la siasa kuna watu natamani niwagonge ban kwa kila pumba wanayotoa lakini kwa kuwa kila mtu ana uhuru wa mawazo basi nawachukulia poa tu. Nasoma vile vyenye kunihabarisha ni kuniongezea maarifa, napotezea pumba maisha yanasonga.
   
Loading...