Naomba Mnisaidie tafsiri sanifu ya Research na Survey kwa kiswahili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Mnisaidie tafsiri sanifu ya Research na Survey kwa kiswahili

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Amavubi, Sep 4, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  Naomba msaada jamani
   
 2. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Research ni Utafiti. Survey ni Uyakinifu
   
 3. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Amavubi

  A: Research = utafiti, uchunguzi


  • research work = kazi za uchunguzi
  • researcher = mchunguzi, mtafiti.


  B: Survey
  lina maana kama 4 hivi

  1 Survey = aua, tazama, kagua.
  2 Survey = pitia (kwa jumla).
  3 Survey = pima ramani, pima kwa kuhesabu.
  4 Survey = kagua jengo, shamba, n.k. n kutazama mandhari, uchunguzi, kupima; mapitio.
  surveying = upimaji wa ardhi.
  quantity surveying = ukadiriaji majenzi.
  surveyor = mkaguzi wa mizani na vipimo, barabara, n.k. mkadiriaji (majenzi, ardhi, n.k.).
   
 4. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  mkuu Dotworld nakupongeza sana kwa kuwa mtu mwenye msaada mkubwa kwenye jukwaa la lugha.
  mimi nina shida ya software ya kamusi ya TUKI, je kuna uwezekano wa kuipata?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  kwa hio hii survey tunayoitumia kumaanisha (utafiti) haina mashiko? mf. media survey...
   
Loading...