Msaada wadau wa lugha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wadau wa lugha.

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Mwandwanga, Sep 2, 2012.

 1. Mwandwanga

  Mwandwanga JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 2,822
  Likes Received: 763
  Trophy Points: 280
  Wanajamvi habari zenu,nimekuwa mdau wa kuchukua yale yanijengayo katika pilika zangu za kielimu na leo naombeni msaada kwa hili"mother tongue is not necessary a mother's tongue justify. Naombeni michango yenu wadau.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Tuchukue mfano wewe ni Mdigo, hivyo mother tongue yako inapaswa kuwa Kidigo, lakini kwa sababu mbalimbali hukuzaliwa kati ya wazungumzao Kidigo (wazazi wako wamehamia mahali pengine) hivyo ukajifunza Kijerumani kama lugha yako ya kwanza.

  Kumbuka kuwa mother tongue (L1, native lang, arterial lang) hapa tunaitumia kama "language that a person has grown up speaking from early childhood. The language you learn to speak from as soon as you were born (critical period of lang acquisition).

   
Loading...