Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Nini maana halisi ya neno "choo"? Hospitali ukiagizwa choo unapeleka kinyesi. Hii sawa. Sehemu watu wanakwenda haja pia panaitwa choo. Na hii ni sahihi. Je, wadau, "choo" nini? Ni kinyesi...
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Naombeni kujuzwa tofauti kati ya maneno haya yafuatayo:- 1) malaya 2) mzinzi 3)muasherati
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hayawi hayawi sasa yanakuwa, Kile kilio cha wazalendo na waaminio katika lugha yao sasa kinaonyesha kuchanua, baada ya serikali kuridhia mswaada wa uanzishwaji wa Itifaki ya Kamisheni ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sidhani kama ukienda Uingereza utakuta radio zao zina majina ya Kiswahili lakini sisi kwa kuanzia hawa Clouds FM, Capital FM, Radio Free Africa, Voice of Tabora na kadhalika, sasa ukitaka...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
1.alikwenda kwa mjomba 2.ninakula kwa kijiko 3.amefungwa kwa wizi wa baiskeli 4.anakwenda shuleni kwa miguu 5.amenunua vitabu kwa bei ya juu (msada tafadhali)
1 Reactions
2 Replies
18K Views
Hebu tujikumbushe maneno ya kiswahili ambayo kwa sasa aidha yamesahaulika au yanatumika kwa nadara sana. Jokofu = Friji Sigiri = Jiko la Mkaa Kishida = Underskirt, Msusa = Majani ya Maboga...
0 Reactions
24 Replies
17K Views
Tangu nilipokuwa shule, mara ya kwanza kusikia msemo Aliye juu mngoje chini nilitatizika sana. Sikuelewa mtunzi wa msemo huu alikuwa na kinyongo, wivu au kukata tamaa. Hata hivyo niliishia kuamini...
2 Reactions
17 Replies
14K Views
Kama nchi inahitaji wataalamu wa lugha ya kiingereza basi msisitizo uwekwe kwenye kiingereza lakini kama nchi inahitaji wataalamu wenye ujuzi juu ya fani na taaluma mbalimbali zenye tija kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yani kuna tanagazo baya la magodoro sijawahi kuona! sasa kile ndio kiswahili gani na cha wapi? hebu wajuzi mtusaidie!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
inakera mno watumiaji wa kiswahili, kwa waswahili kutumia maneno ya kiingereza na kuita ni lugha ya kitaalam! jamani bakita mko wapi? hata roadblock ni lugha ya kitaalam? wabunge mawaziri viongozi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani msaada wenu kwenye maswali haya1)kwanini wamahiri wa lugha zaidi ya moja umahiri wao hauendi sambamba?2)jadili nafasi ya misimu ktk kiswahili sanifu?3)eleza uamilifu wa viambishi ktk vitenzi?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kuna watu ukiwashukuru kwa kusema "asante" wanasema "karibu". Bila ya shaka hawa wanatafsiri kutoka Kiingereza pale mtu anaposema "thank you" na anajibiwa "you are welcome". Lakini kuna wengine...
4 Reactions
31 Replies
16K Views
Kila ninaposikiliza redio au kutazama TV nshtushwa mtamshi yasiyo sahihi ya baadhi ya maneno. Tatizo hili wengi mtasema linatokana na lugha asili za watangazaji hao lakini kwa upande wangu naona...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Change the following question into English: Wewe ni mzaliwa wa ngapi?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
HONGERA KAKA Mtoi KUPATA JIKO Nakupa zangu hongera, mapenzi wayakubali Mtoi nakupa sera, Rehema katoka mbali Chadema wamejikera; maneno mali kauli Karibu kwetu Mlalo, harusi wetu kisura Maneno...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Ujumbe hauna mantiki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nini tofauti kati ya kiswahili SANIFU na FASAHA.
0 Reactions
8 Replies
39K Views
Hi members,I decided to put this thread under this forum for a reason.Though the contents can be used by any human being.Just in case you do not know we make decision all the time,some are simple...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
A lawyer has a son.But the son's father is a security guard.Who is the Lawyer?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hapa ni dirisha la kuweka na kutoa pesa katika benki ya CRDB nchini Burundi...kwa kutumia uzoefu wako wa kutembelea matawi ya benki ya CRDB hapa Tanzania tuambie maneno haya yana maana gani kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom