Je, Watangazaji wa Redio na Tv hufanyiwa usaili wa uwezo wao wa kutamka sawasawa?

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,260
2,000
Kila ninaposikiliza redio au kutazama TV nshtushwa mtamshi yasiyo sahihi ya baadhi ya maneno. Tatizo hili wengi mtasema linatokana na lugha asili za watangazaji hao lakini kwa upande wangu naona kama tatizo lipo zaidi kwa watangazaji hao kuwa wavivu wa kujisahihisha. Sijapata kwa mfano, kumsikia mtangazaji akitamka sahihi neno 'malaria'. Mara nyingi nimesikia ' marelia' Kama huyu mtangazaji anaweza kutamka 'r' na 'l' sawasawa , kwa nini anashindwa kuweka 'r' mahali pake na 'l' mahali pake?. Kwa hiyo kwenye sentenso 'Mgonjwa wa malaria amepanda lori' utasikia 'Mgonjwa wa marelia amepanda roli' Kwanini watangazaji wanakuwa wavivu kiasi hiki? Inaudhi sana! Hasa wa Star TV.
 
Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
3,985
2,000
Pana mtangazaji mmoja tu pale TBC radio"taifa" siku hizi simsikii lakini alikuwa akisoma taarifa ya habari utapenda maana penye R atatamka hivo na utaisikia. Nikimkumbuka nitamtaja si wa zamani sana.
Kila ninaposikiliza redio au kutazama TV nshtushwa mtamshi yasiyo sahihi ya baadhi ya maneno. Tatizo hili wengi mtasema linatokana na lugha asili za watangazaji hao lakini kwa upande wangu naona kama tatizo lipo zaidi kwa watangazaji hao kuwa wavivu wa kujisahihisha. Sijapata kwa mfano, kumsikia mtangazaji akitamka sahihi neno 'malaria'. Mara nyingi nimesikia ' marelia' Kama huyu mtangazaji anaweza kutamka 'r' na 'l' sawasawa , kwa nini anashindwa kuweka 'r' mahali pake na 'l' mahali pake?. Kwa hiyo kwenye sentenso 'Mgonjwa wa malaria amepanda lori' utasikia 'Mgonjwa wa marelia amepanda roli' Kwanini watangazaji wanakuwa wavivu kiasi hiki? Inaudhi sana! Hasa wa Star TV.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom