Nadharia ya uhalisia nafsi katika fasihi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nadharia ya uhalisia nafsi katika fasihi.

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Wernery G Kapinga, Nov 7, 2012.

 1. Wernery G Kapinga

  Wernery G Kapinga Senior Member

  #1
  Nov 7, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nadharia ya uhalisia nafsi nini? Je, inajitokezaje katika riwaya mbalimbali za watunzi wa fasihi andishi?
   
 2. K

  Kyandaya Member

  #2
  Nov 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nadhani unazungumzia dhana ya(personification)yaani msomaji kuvaa sura,matendo na tabia ya mhusika mkuu au wasaidizi wake.
   
Loading...