Ninasikiliza radio na kutazama sana tv. Watangazaji wengi wa tv na radio wanatumia lugha kwa namna ambayo
inanipa mashaka kwamba kwenye vyuo vya uandishi habari hakuna somo la lugha kiswahili/...
Huwa najiuliza hivi lugha zote hapa duniani zina aliyezianzisha? Kama pana mtu ajuaye kuwa labda Kinyamwezi kaanzisha mtu fulani naomba kufahamishwa.
Nimeonelea kulisema hili maana pana juhudi za...
Bila shaka nyote mmesikia kuhusu vurugu na mauaji yanayoendelea huko Garissa, nchini Kenya. Japo nakashifu tendo la wanajeshi kuwavamia wakaazi wa eneo hilo, nasikitika kuwa huo ni mwiba wa...
Lugha za mtaani/kitaa au maskani.
Mpige tero-Msachi/mkague.
Njiti-Shilingi 100
Bati -sh 200
Barida-( tuliza/tulizana)
Chali-vijana wadogo wadogo wanaolingana umri
Nyoka-dogo ambaye...
Nimesikia ktk ITV leo na hata katika mijadala mbalimbalia kuhusu uimara wa kiswahili na tatizo linalosababishwa na Kiswahili.
katika akufuatilia nimeona tatizo si Lugha na hata kama lingekuwa...
Hutokea mara nyingi watangazaji wakisema "habari za kimataifa" au "habari za kimichezo" ni sahihi? Mimi nadhani ingekuwa "habari za mataifa", na "habari za michezo". nisaidieni lugha wandugu.
wataalam wa lugha naombeni ufafanuzi wa nini maana ya feed back?kwani nimemsikia mtangazaji wa tbc taifa,anasema kuwa mic zimeleta matatizo ktk ukumbi wanaofanyia mkutano chama cha mapinduzi...
Hi
I am the university student really in need of the soft copies of the books; Translation Theory into Practice, The Modern Translations and Church Translating Paradigm (2nd Edition).
I have...
Kuna watu wanatabia ya kuongea kizungu au wanachanganya changanya kiswahil na kizungu ili tu waonekane wajanja au wasomi au tu kupenda sifa. anaona ataonekana mshamba akiongea kiswahili moja kwa...
1.Ushamba ni kuwepo ktk onyesho flani la Bendi maarufu ya mziki wa Dansi,unampatia pesa kiongozi wa Bendi au rapa ili jina lako litajwe mpaka mwisho wa onyesho kuwa "Papaa Masaburi Makubwa" yupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.