Prove your ability here

Milestone

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
379
407
How do you call a person having the same name as your ? ie. If i'm Abdalla how do i call another Abdalla ?
 
Si unamwita wajina ama unataka kwa kiingereza kwa vile umeuliza kiingereza?
 
Si unamwita wajina ama unataka kwa kiingereza kwa vile umeuliza kiingereza?

Hahaha mbona hujamjibu sasa mkuu?! Kuna dogo mmoja nilisha muuliza same question akaniambia watu wenye majina yanayofanana/wajina/ama somo kwa kingereza akaita "surname"
 
that is what you call proving the ability? This is another ****! Waswahili huwa tunadhani mila zetu za kuitana wajina na somo zinaapply hata kwa wazungu. Ndio maaana tunaita babazetu wakubwa Big and small fathers. It does not apply friends let africans especilly swahili be defined by their swahili culture
 
Back
Top Bottom