Wanyamwezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanyamwezi

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Mpevu, Feb 22, 2011.

 1. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  bha'aabhoooo...karibuni,
  zya nsiko...habari za siku,
  mwee wapanga...hamjambo?,
  mwangaloka...habari za asubuhi,
  wa kukaya...wa nyumbani,
  kalibhu halugo...karibu nyumbani,
  kalibhu hakaaya...karibu nyumbani
  Ikingilima...day-break/alfajiri na mapema
  Mkweela...shemeji/wifi
  Yaayo/nina...mama,
  natoolile...nimeshaoa,
  Tujaage...twende
  Le kasheshe...aina ya mzigo/shehena nzito (zaidi huwa mazao) ifungwayo na kuendeshwa kwa baiskeli tena kwa taabu sana,
  Igosha lya kapanga...MWANAUME WA SHOKA.

  Wadau nawasilisha semo za lugha adhimu ya unyanyembe...nyamwezi land.
   
 2. b

  baba k Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijakupata vizuri
   
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hizo ni semi za kinyamwezi, tujifunze/tutambue lugha za makabila yetu ya Tanzania kwani ipo siku tukatembelea vijijini wasipojua kiswahili hivyo ituwie rahisi kimawasiliano.
   
Loading...