LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,328 Reaction score 46,422 May 30, 2025 #1 Haya ni maneno mapya ya mitandaoni. Usahihi ni upi kati ya akili mnemba na akili unde?
I feel good JF-Expert Member Joined Oct 21, 2016 Posts 1,731 Reaction score 3,094 May 30, 2025 #2 Ni dhahiri kuwa AI bado haijapata tafsiri halisi hadi sasa, naona watu wanajikanyaga kanyaga tu
simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,782 Reaction score 9,708 Feb 4, 2026 #3 I feel good said: Ni dhahiri kuwa AI bado haijapata tafsiri halisi hadi sasa, naona watu wanajikanyaga kanyaga tu Click to expand... Nadhani jina akili isiyo asili inabeba maana halisi ya AI. Akili bandia inatoa tafsiri "akili feki"
I feel good said: Ni dhahiri kuwa AI bado haijapata tafsiri halisi hadi sasa, naona watu wanajikanyaga kanyaga tu Click to expand... Nadhani jina akili isiyo asili inabeba maana halisi ya AI. Akili bandia inatoa tafsiri "akili feki"