Kuti la mazoea humwangusha Mgema

Kuti la mazoea humwangusha Mgema

Jambo ulilozoea kufanya,na kuliona la kawaida kuna siku litakufedhehesha, au kukuumiza.

Yaani uwe na adhali kwa Kila jambo,tukio, kazi au kitu chochote unachofanya.
Taadhali kabla ya hatari.
Usiamini Kila kitu.
 
Nje ya mada:

Naomba kueleweshwa maana ya neno My Take.
 
Back
Top Bottom