Lugha yetu

Lugha yetu

pessajr

New Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Tanzania ni moja kati ya nchi pekee ambayo watu wanaanza kusalimia kwa kingereza kwenye mitandao harafu ni kiswaili tupu, tena jumbe zao zina vifupisho na maneno yasio fasaha hadi kelo, heti xaxa, p ndio poa, na mwisho wa siku wanaangana kwa kingereza tena utaona g9 badala ya goodnight, hivi tunaenda wapi au ndo mitindo ya kisasa?. Huu ni ulimbukeni wa mitandao jamani, tubadilike na tuibadilishe jamii, kizazi kijacho kizidi kuridhi hii tunu tulioachiwa na mababu na mabibi zetu, tutumie kiswaili chetu adhimu kukuza lugha yetu, ni lugha ya kiweledi na yenye sahala sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom