Hivi Wapare wanajua sana Kiswahili au?

Hivi Wapare wanajua sana Kiswahili au?

Desteo

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
494
Reaction score
125
Nimehudhuria sherehe moja ya kipare ya ndoa.

Wakati wa nasaha wakawa eti wanawapa maharusi nasaha kwa kipare. Yaani hata Mkurya atawaelewa wanachozungumza kwani ni kiswahili kitupu, Ndio kusema nyie kipare kinapitia evolution?

Yaani wanaongea kiswahili kwa lafudhi ya kwao kisha wanasema ni kipare. Ngoja nitonge mie wathijenidenga na kethi.
 
Ulikuwa na kadi ya mwaliko...........?........
 
nimehudhuria sherehe moja ya kipare ya ndoa. wakati wa nasaha wakawa eti wanawapa maharusi nasaha kwa kipare. yani hata mkurya atawaelewa wanachozungimza kwani ni kiswahili kitupu. ndio kusema nyie kipare kinapitia evolution? yani wanaongea kiswahili kwa lafudhi ya kwao kisha wanasrma ni kipare. ngoja nitonge mie wathijenidenga na kethi
Na wewe nae dada yangu hicho kiswahili gani umeandika?

Swissme
 
dah! halafu vinywaji vyao ilikuwa ni balaa. maji ni ile uhai fupi na soda ni vile vikoka vifupi. halafu sio kila sherehe ina kadi preta
 
Kumbe jamaa ni mzamiaji wenzake wanazamia meli yeye anazamia harusi
 
Sherehe za kipare zoote zinafanana. Vyakula na vinywaji vinakuaga havitoshi, maji utakuta ni uhai ndogo, bia ni safari na champagne moja au mbili.
Hivi michango ya watu wanafanyiaga nini ?
 
Hatuwezi kujibu hoja za kijinga kama Hizi...
 
Mwekitie kine hera mpate cha teta...chekihera tuneuza kagonji na mwanae......tumuenda mama, tumvone tumuinge zawadi tuaroke.....
 
Mwekitie kine hera mpate cha teta...chekihera tuneuza kagonji na mwanae......tumuenda mama, tumvone tumuinge zawadi tuaroke.....

yah tumeshapata cha kusema. ila hiZo zawadi isiwe mavazi maana anayo ya kutosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom