Hii maana yake nini?

Hii maana yake nini?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Ukimsalimia mtu hello anajibu hi, ukimwambia hi anajibu hello. maana yake nini watalaam english
 
Peleka swali lako jukwaa husika...angalia kuna jukwaa la Lugha
 
Hi salamu tu mwanangu ila ni neno la kiingereza , sawa na kusema "mambo"
 
km hvyo kwann acjbu hello km amesalmiwa hello. au kwann acjbu hi km ameambiwa hi. badaka yke inakua knyume. hello-hi. hi-hello
 
kwa me na ke lazima utofautishe salam kidogo. sio hello alafu ujibu hello mmmmm ni sawa ila haiko poa sana.
 
km hvyo kwann acjbu hello km amesalmiwa hello. au kwann acjbu hi km ameambiwa hi. badaka yke inakua knyume. hello-hi. hi-hello

utaumiz kchw san kw v2 vdog km umeambw hi it means mambo sas nkujb mambo tena kingere uktak kutafcr kla sentens ulirate na kiswahl utabomok ubongo mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom