Makini
Senior Member
- Dec 23, 2014
- 154
- 59
Kwa muda sasa nimekua nikisikia watu mbali mbali wakisema 'mtu anapewa au anatunikiwa tunzo fulani'. Mimi kwa uzoefu wangu najua kwamba hilo neno ni Tuzo, lakini sasa kutokana na watu wengi sana kuongeza hiyo herufi n hapo katikati, naanza kupata mashaka kwamba huenda neno sahihi ni tunzo.
Wataalamu wa lugha, uhakika uko wapi? Tuzo au tunzo.
Natanguliza shukrani.
Wataalamu wa lugha, uhakika uko wapi? Tuzo au tunzo.
Natanguliza shukrani.