Kamusi ya kiswahili-kiingereza

von Neumann

Member
Sep 10, 2013
29
6
Msaada kwa mdau yeyote mwenye kamusi softcopy either pdf format au link ya page yenye translation kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza. Kwa ufupi Swahili - English dictionary.

Thanks in advance
 
Kuna dictionary ya TUKI imesambaa sana hasa miongoni mwa wanavyuo,kama unafahamiana na mtu yeyote anayesoma chuo kikuu mwombe akutafutie kwa jamaa zake. Ukishindwa nipm tuone namna ya kukupatia maana set ups (executable files) hazikubali kutumwa kwenye e-mails kirahisi (labda wataaamu watusaidie ili niweze kukutumia)
 
Just Google TUKI Dictionary na itakupeleka kwenye sites utakapoweza ku-download pdf file ya hii dictionary.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom