Naombeni msaada wa maana ya maneno haya

Naombeni msaada wa maana ya maneno haya

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Posts
13,080
Reaction score
4,276
Natumaini mko poa wote nawapenda sana.

Kuna swali hili linanitatiza kidogo najua jukwaa la elimu lipo lakini watu hawapiti sana kule mimi ni mmojawapo ndio maana nimeleta hapa.

Naomba msaada wa kuelewa tofauti ama maana ya haya maneno mawili.
1. Balance
2. Change wengine husema chenji, chenchi nk

Yamekuwa yananitatiza sana kusema kweli haswa nikiwa mahala pa kujinafasi
 
Balance=weka sawa
Change=Badilisha

Tehe!! tehe!
 
Change=badili
Balance=linganisha!
:A S-rap:
 
Change... Ni salio baada ya kulipia bill za bia.

balance.... Ni salio baada ya kutoa hela kwenye ATM kwa ajili ya kwenda kununulia bia ili upate chenji.

Hope this clarifies...
 
Kwa kweli nimeangalia majibu yote lakini bado sijakuelewa unachouliza.

Hebu tupe context.

Ni kitu gani ulichokuwa unafanya mpaka haya maneno mawili yakakuzinga?
 
Back
Top Bottom