Wanabodi: Nini maana ya 'Kampuni Tanzu'

Wanabodi: Nini maana ya 'Kampuni Tanzu'

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,168
Reaction score
12,417
Msaada kama unafahamu,nikipata na ufafanuzi nitashukuru.
Wenu N'yadikwa
 
Tanzu maana yake ni tawi au branch kwa kiingereza. Mfano: Tanzu za Fasihi ni Fasihi simulizi na fasihi andishi
IPP kwa mfano ina makampuni tanzu mengi kama Bonite bottlers, Gurdian na Radio one nk.

Nukuu kutoka kwenye kamusi ya Kiswahili - Kiingereza, TUKI 2001 TOLEO LA KWANZA inasema: tanzu nm (i/iz) branch. kv subsdiary: JV Group ina makampuni tanzu mengi. The JV Group has many subsdiary companies.

Hivyo kusema "Kampuni tanzu" maana yake ni kusema kampuni ambayo ni tawi la kampuni fulani mfano: Kampuni ya Kwanza cocakola ni kampuni tanzu ya IPP Yaani IPP ndiyo mwamvuli wa makampuni mengine yote yaliyo chini yake au tunaweza kusema IPP ndiyo kampuni mama na tanzu ni kama mtoto wa mama.

Nadhani nimejaribu kukusaidia.
 
Na mi naomba msaada wa neno la muwa kwa kidhungu aaksanteni
 
Back
Top Bottom