Msaada: Minyonyo na mibono kwa kiingereza

Msaada: Minyonyo na mibono kwa kiingereza

sir Ganto G

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
573
Reaction score
114
Habari wana jamvi, naomba nisaidiwe maneno haya mawili yanavyotaitwa kwa kiingereza au kwa majina ya kibaologia

1. Mibono
2.Minyonyo

Natanguliza shukrani zangu za dhati...
 
Back
Top Bottom