Wapo wapi waandishi mashughuli? Nauza hati miliki ya vitabu vyangu, mwenyewe uhitaji tuwasiliane 0652262797
Muandishi mwenye shida na mlumbi wa lugha anae hakiki kazi za fasihi kwa bei nafuu nae...
Ufanye uende mbio, kaskazi mashariki,
Ubebe na kuku kwio, kwa ndumba unihiliki,
Yote yawa kifagio, kwa uwezo wa Maliki,
Jalali sio babio, elewa sihadhiriki.
Kiso chako hukishiki, hata kwa lake...
KAMUSI.
Useful English to Swahili - Swahili to English Translator, with audio.
Baada ya ku translate Inasoma "translated words" kwa sauti.
Kwa Kiswahili na kwa Kiingereza.
Download it...
Useful English to Swahili - Swahili to English Translator, with audio.
Baada ya ku translate Inasoma "translated words" kwa sauti.
Kwa Kiswahili na kwa Kiingereza.
Download it from the...
Habari,
Mimi ni mkufunzi, napenda sana kusafiri ndani na nje ya Tanzania. Mwaka jana nilibahatika kutembelea vyuo mbalimbali Ulaya, nikaona wenzetu wa nchi jirani wanavyofundisha masomo...
The
THE CASUALTIES
John Pepper Clark
The casualties are not only those who are dead;
They are well out of it.
The casualties are not only those who are wounded,
Thought they await burial by...
These are some of Sheng za Nairobi. Hatujapogwa jams kwenye national language, tunaelewa Sheng.
1.kubebwa tumboni miezi tisa =hiyo ni gondo.
2.ukitwa dwanzi =ni sawa na umeitwa fala
3 . kitu...
Wakuu,
Kuna anayefahamu maana ya msemo 'waja leo waondoka leo'? Kama sijakosea watu kuutumia kuzungumzia mji wa Tanga.
Maana yake ni nini? Ningependa kujuzwa tafadhali.
Hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu tumekuwa tukisikia Kiswahili kibovu kikitumiwa na baadhi ya watangazaji wa ITV na hasa matumizi ya neno "Lakini". Kwa mfano, mmoja wao alisema...