Kamusi, Swahili to English, (English to Swahili) Translator.

Mahmood

JF-Expert Member
Feb 9, 2008
7,908
2,478
9c04ba32e5124d78cbc9a53affa69769.jpg


KAMUSI.

Useful English to Swahili - Swahili to English Translator, with audio.

Baada ya ku translate Inasoma "translated words" kwa sauti.

Kwa Kiswahili na kwa Kiingereza.

Download it from the google play store here:

English to Swahili Translator - Android Apps on Google Play
 
Thanks sana mkuu.

Mimi nimekua nikitumia ile ya TUKI, japo ina run kwenye PC tu, sijawahi kuona ya kwenye simu.
Hii ina run kwenye simu zote za aina ya android.

You are welcome.
 
Shukrani sana Bro Mahamood, tajitahid kuwasambazia wengine wanafaike na hii kamusi.
 
Msaada wakuu kwa anaelewa jinsi ya kupata masomo ya programing kwa kupitia njia ya online tafadhari naombeni msaada wenu wakuu
 
Back
Top Bottom