Paragons
Member
- May 3, 2016
- 60
- 47
Habari,
Mimi ni mkufunzi, napenda sana kusafiri ndani na nje ya Tanzania. Mwaka jana nilibahatika kutembelea vyuo mbalimbali Ulaya, nikaona wenzetu wa nchi jirani wanavyofundisha masomo mbalimbali sababu ya kuwa na uwezo wa kuzungumza lugha za kimataifa. Kusema ukweli niliona wivu kwa kuwa watanzania wanaofanya kazi kama hizo ni wachache sana, kama kijana, nilianza kutoa ushauri kwa vijana wenzangu.
Wapendelee kutumia muda wanaopoteza kwenye mambo yanayo wajenga kama kujifunza lugha za kimataifa: French, Spanish, german, chinese, Arabic … na hata English maana wengi hatuijui. Pamoja na huo ushauri, pia natoa muda wangu kufundisha vijana walio karibu na mimi French, English na Spanish
BILA MALIPO!!! Vijana tubadilike! Ukikuta mchina anafundisha Kiswahili chako ulaya au marekani na wewe umekaa Dar bila kazi; utaona aibu sana!
Vox populi, vox Dei
La voz del pueblo es la voz de Dios
La voix du people c’est la voix de Dieu
“The voice of the people is the voice of God”
The people is you and me, our loud voice is a tool for the construction of a brighter Tanzania.
May God bless you!