David kahuka
Member
- Aug 11, 2013
- 28
- 5
Naombeni mnisaidi Utofauti wa neno....
"Expiry date" na "Best before"
"Expiry date" na "Best before"
Expire date maana yake ikifika hiyo tarehe hio bidhaa haifai kabisa kwa matumizi ya binadamu, ni ya kutupa.Naombeni mnisaidi Utofauti wa neno....
"Expiry date" na "Best before"
Expiry date - tarehe ya mwisho wa matumizi baada ya hapo ubora wake unakuwa umeishaNaombeni mnisaidi Utofauti wa neno....
"Expiry date" na "Best before"